Mwananchi mkazi wa Tunduma, mkoani Songwe Adam Kinyekile aliyetengeneza helkopta ametembelewa na wataalamu kutoka Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA)
Mbunifu huyo ndugu Kinyekile, ambaye pia ni fundi wa magari alisema alipokea ujumbe wa maofisa wanne kutoka TCAA makao makuu...
Soma zaidi hapa:
http://www.mwananchi.co.tz/habari/-Aliyetengeneza-helikopta-atembelewa-na-wataalamu-wa-anga-/1597578-3325112-ajevjdz/index.html
Post a Comment