Loading...

Mmmh! VIJANA WA KITANZANIA KUFANYA MATAWI KUMEZIDI : MTAZAME BINTI SEPETU ANAVYOJIONA KUWA YEYE NI LEVEL HIZOOO


Jana usiku katika taarifa ya habari ya TV1, habari ikielezea uhamasishaji wa wasanii kuupa kipaumbele miziki yenye mahadhi ya uswahili kama segere na singeli nimemsikia Wema Sepetu akihojiwa na kuzungumza haya:-

"Mimi pamoja na uzungu wangu lakini huwa napenda nyimbo zenye uswahili kama hizi"

Kwa aliyeelewa vizuri hiyo kauli ya Wema ilimaanisha nini? Je Kweli Wema ni Mzungu?

Nawasilisha.
http://www.udakuspecially.com/2016/08/wema-sepetu-amenishangaza-kwa-kauli-ya.html

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Amour | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top