Jana wakati akitolea ufafanuzi suala la yeye kuchepeka Hamisa
Mobeto,Diamond alisema anashangazwa sana na tabia ya watu kuhusianisha
kila rafiki wa dada yake basi yeye anatembea naye huku akienda mbele
zaidi na kudai hali iko hivyohivyo sio kila rafiki yake basi anamkaza
dada yake
"MAANA KILA MSHIKAJI WANGU MIMI A******* {ANALALA} DADA YANGU" Aliuliza Diamond Platinumz
http://www.udakuspecially.com/2016/08/diamondsio-kila-rafiki-yangu-basi.html
Thursday, 4 August 2016
Post a Comment